+255719691152 info@paaes-tz.org

Miche bora ya embe iliyozalishwa kitaalam

Mahindi bora yenye viinilishe vingi

Kilimo cha Kokoa wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani

Kilimo biashara cha mapapai malkia F1

Our Services


Tunatoa huduma za ushauri na mafunzo kwa wakulima na wafugaji

Tunalima mahindi, mpunga, alizeti, ufuta, karanga, muhogo, mapashen, papai, Viazi vitamu, fiwi, kokoa, nyanya, mbogamboga, tikiti maji, matango na vitunguu

Read More

Tunafuga kuku wa asili, saso, kroila, kuchi

Read More

Matrekta, Mbolea aina ya organic na mbolea za viwandani

Read More

Tunatoa bima ya kilimo katika majanga ya mafuriko, jua kali (ukame)

Read More

Home


IJUE HAZINA ILIYOFICHIKA KATIKA KILIMO NA UFUGAJI

Kitabu cha Mwanzo 2:9-17. 

Asilimia themanini na tano(85%) ya Watanzania ni wakulima. Lakini kilimo chao walio wengi ni cha kujikimu, sio cha biashara. 

  1. Hawana utafiti wa udongo juu ya mazao wanayozalisha
  2. Mazao yanayozalishwa yako chini ya kiwango
  3. Hawana masoko yenye tija kwa mazao wanayozalisha

 

Baada ya utafiti wa miaka mingi, na kushirikisha wadau mbalimbali wa masoko PAAES-Tanzania imekuja na ufumbuzi wa kutatua vikwazo na changamoto za mkulima na mfugaji. Tafadhali tunakukaribisha offisini kwetu kupata ufafanuzi juu ya utafiti wa udongo, mazao yasiyokidhi viwango na masoko ya uhakika juu ya bidhaa za kilimo na ufugaji

Our Recent Posts


Vitalu vya miche ya miti aina ya mkongo na mvule kwajili ya kupanda ndani ya msitu wa hifadhi wa Masanganya wenye ukubwa wa hekta 6599, ambao uko kwenye wilaya mbili, Wilaya ya Mkuranga na Kisarawe. Ulitangazwa kuwa msitu wa hifadhi na serikali ya mjerumani mwaka 1913. Ni msitu wenye hazina kubwa ya utundikaji wa mizingaRead More…

Kilimo biashara cha viazi kilivyo na mafanikio makubwa na soko lake ni kubwa lenye tija kwa mkulima

Wataalam wa kilimo biashara na masoko kutoka Finland, Japan Canada, Wingereza na America

Load More Posts

Kilimo, biashara na Ufugaji

Karibu PAAES-Tanzania

Join us
Scroll to Top